Tarehe na matokeo ya makohozi (AFB)
Baada ya |
Tarehe ya kurudi kupima |
Matokeo |
Tarehe |
Miezi 2 |
|
|
|
Miezi 3 |
|
|
|
Miezi 4 |
|
|
|
Miezi 5 |
|
|
|
Miezi 7/8 |
|
|
|
|
Kumbuka
- Tunza kadi yako
- Kifua kikuu ni ugonjwa wa kuambukiza na siyo kulogwa
- Matibabu ya Kifua kikuu yanatolewa bila malipo
- Tiba huchukua miezi 6
- Mgonjwa wa Kifua kifua hupona akitumia dawa kila siku hata kama ana maambukizi ya VVU
- Ni muhimu kwa wagonjwa wa Kifua kikuu kupima VVU
- TB haitibiki kwa tiba mbadala. Hivyo fuata masharti ya daktari ili upone
- Funika mdomo na pua unapokohoa
- Tumia dawa zako kila siku kama ulivyoelekezwa ili upone
|
|
Wizara ya Afya
Mpando wa Taifa wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukoma
| |